?p=1116335&interactive=1&pushup=1">

INASIKITISHA HIVI NDIVYO JINSI DADA HUYU ALIPOJIINGIZA KWENYE MAHUSIANO YA JINSIA MOJA KWELI NI HATARI SANA

Wednesday



Nilipokuwa   kwenye  shule  hii  ya  bweni  ndipo nilipo anza  kujihusisha   na  mapenzi  ya  jinsia  moja  kwa  mara  ya  kwanza.
Room mate  wangu  aitwaye  Maureen  ndiye   aliyenishawishi  hadi  nikaingia  naye  kwenye  mahusiano  hayo.   Nakumbuka  ilikuwa  ni  mwaka  2008

Room mate  wangu  huyu  baada  ya  kuwa  tumezoeana  sana, siku moja  usiku , akiwa  kama  alivyo  zaliwa,. alisogea  hadi  nilipokuwa  nimekaa  na kunishawishi  nifanye nae  mapenzi  ya  jinsia  moja.
Sikuwa  na  jinsi  zaidi  ya  kufanya    kama  alivyo  taka  yeye.
Kuanzia  siku  hiyo  huo  ndo  ukawa  mchezo wetu.
Niliendelea  na  mchezo huo  hadi  nilipo maliza  kidato  cha  nne  na  kurejea  mtaani.

TUMUOGOPE MUNGU KWANI MCHEZO HUU NI DHAMBI KUBWA


Share

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2015. Home Of Omgs.
Design by Herdiansyah Hamzah. Published by Themes Paper. Powered by Blogger.
Creative Commons License