Maelfu ya wananchi wa jiji la Dar es salaam wajitokeza kumsindikiza mgombea urais wa ukawa kupitia chama cha chadema waziri mkuu mstaafu Edward Lowass na mgombea mwenza Juma Haji Duni kuchukua form za kugombea uraisi kwenye ofisi ya tume ya uchaguzi
Uchaguzi Tanzania; Maelfu wajitokeza kumsindikiza Edward Lowassa na juma haji duni kuchukua form za kugombea urais 2015
Monday
Maelfu ya wananchi wa jiji la Dar es salaam wajitokeza kumsindikiza mgombea urais wa ukawa kupitia chama cha chadema waziri mkuu mstaafu Edward Lowass na mgombea mwenza Juma Haji Duni kuchukua form za kugombea uraisi kwenye ofisi ya tume ya uchaguzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment